Umaraya is an addictive career.

Kut morning wana kijiji. Kuna story fulani nimekumbuka hapa ikabidi niwachangamshe nayo. Kuna time fulani nilipewangwa kaleave December from work, i think 2016. Nikaamua niishie ushago county ya Mwalimu Kahiga nikae na watu wa home ocha at least niwasaidie kazi ya shamba na pia nilikuwa nimekaa for long bila kuwavisit. Sasa vile nilikuwa hapo for one month, nilipata time mob ya kutembeatembea yaani kutangatanga county na kuhook up with former buddies and relatives.
But ile time mob nikitaka kurelax nilikuwa naishia pale Nyeri town na kukamata Tusker yangu nikitulizanga boli. Sasa kuna siku moja niliishia town, nikaamua kutembea joint ingine hapo ambayo iko notoriously known kwa kuwa na mapoko 24/7. Joint inaitwa Seven stars, ni brothel kiplan. Sasa yangu ilikuwa tu nanyonya Tusker baridi nikisafisha mecho yangu na mapoko wenye walikuwa around wakipitapita na wengine wamekaa seti. Mara kukaakaa nikaanza kulewa. Nayo akili ikateremka polepole from the main head to the small head between the legs. Kufika kitu 6.45pm nikaona apana, hizi vitu zimekuwa msuri sana na lazima nikamue moja kabla nirudi home, yaani kurudishia mwili asante kwa lugha ya cendro. Usisahau nilikuwa na dry spell kama ya three and a half weeks (tangu tuonane na Bibi).
Ndiye huyo mimi(weka accent ya kisapere) nikatumia hand sign nikaita poko moja hapo ilikuwa rembo na smart kiasi. Kindu ya 27 years. Nikaiambia ikuje kwa meza yangu. Nikaiuliza itakunywa nini ikasema hailewi itakunywa tu krest kubwa. Ndio sisi hao tumeanza kujuana. Ikanishow kwao ni Sagana karibu na ile KPCU depot. Ikanishow pia imekaa nyeri town kindu two years. Sikutaka story iendelee sana. Nikaenda straight to the main agenda of the meeting nikaishow nadai kukamua. Hii kitu ilikuwa na upoliteness ingine na kasauti katamu hata ilikuwa inafanya Johnnie kaamuke tu bila stress. Nikauliza mechi kama tunachezea tu hapo Sevens. Ikadai zi, inajulikana hapo na haitaki kuchoma mbisha. Ikanishow place ingine iko hapo chini but nikatumia akili yangu hata kama most of the brain cells zilikuwa zimeteremka kwa kichwa ndogo. Nikarecall one rule: never go to a lodging yenye poko amepropose. Nikaishow najua place ingine poa hapo tu juu kidogo. So tukaagree on terms and conditions. Nikaishow nitatoka kwanza alafu inikufuate tu at a safe distance. Ndio hao sisi tukaenda na kumaliza misa, threshold tukafikisha. Enyewe ikus ilikuwa sawa. Sasa after kumaliza maneno, nikafikiria kuiuliza kitu. Nikaishow juu naona iko smart and cute, kuna beshte yangu amefungua klub kubwa juzi na iko busy, na alikuwa anatafuta attendants from mbali na hiyo town. Alikuwa anaprefer kuajiri watu sio familiar na locality ya klub. Na pia nikaishow mshahara iko poa na marupurupu ya kando hapo itakuwa mingi. Imagine poko ilinishow aje,“mimi siwezi acha hii kazi ya umalaya ati niende niajiriwe. Hii kazi iko na pesa mingi na hatuchoki sana. Bora tu ung’are na ujue kutingisha mzigo.” Nikalenga story, ikanipea namba ya simu na tukaagana kwaheri nikachomoka ndio angalau nipate matatu za kwetu Karunaini kama hazijaisha.

:D:D:D Unaproposia CSW wira? Thats a very hard bargain to push… Those people are beyond help.

Ni kama kujikuna isiyokua na mwisho! We deposit enda zako, some dont want to be saved!

Imagine haki!

Nilishtuka sana. Hiyo jobo ilikuwa swaffe na hata barmaids wenye walianzia hapo wengine wamequit na kuweka bizna zao coz kuna pesa mingi hapo ya mshahara na ya bwerere. Alafu nilikuwa sure huyo jamaa angemwajiri coz ni beshte sana.

Hao malaya ni kama tu makanga. A good number huwa hawana anything to show for their struggles.

Exactly. Wengi hawawezi saidika.

Hahaha kabisa, lazma aoneshe clientele she is soft spoken, nice and lady like. The cute ones with girly, friendly attitudes ndio hufetch good money from both would be sponsers and also as pokos. Before I moved to Naks late last year I used to live in Msa Bamburi mtambo na wamejaa hapo fisheries na vescon. unapata dem amefurnish keja vilivyo, anajua kung’ara, kuongea nk. Wazungu seasonal na sponsers wako mbio na yeye wakiona potential at the same time kama una pesa hawachi offer (pretty great as escorts coz hawana ushamba na wako presentable) kukikauka coz they blow money fast, ni kuingia hapo kwa streets za Kenol ka hawker. But they are great company though, sana sana as neighbours.

Just don’t be fooled hawa waliamua.

Every job has its own challenges and requirements…and they know that…so alikua tu anakaa tu kwa lane yake hataki stress…ati vaa hivi na hivi, leta karatasi ii ama ile…mara sijui andika cv ulete

Some do quit and change…

Kunguru hafugiki. Prostitution is a very easy business if a woman is above average in terms of looks. Actually, sio jobs mingi dame msawa hajasoma anaweza kulia kuliko umalaya. The problem is, they dont consider the risks vs rewards, wanaona tu monetary rewards. Prostitutes are also heavy spenders. They make a lot of money, but also lose a lot of money on unnecessary spending.

To them it’s a lifetime calling!

Wakizeeka na kuchapa labda!

I totally agree with you.

Hata kuna jamaa juzi alipea poco business proposal ya wine and spirits (na sitaki kusikia leta hekaya. it wasnt me. ngitee…)

Ukikaa sana na mapoco wanaanza kukukalia dem wa kawaida.

You can wake up to find a girl tightly hugging you from behind. In that half asleep state you thinking ni bibi yako kugeuka ndio unapata ni pikup ya prev night.

NGOs wanasema ni poverty inawafanya poko, as if all those who choose not to are from rich families

Mwambie awekelee hekaya hapa!

You wonder. Ni kama wale majambazi huwa wanasingizia poverty ndio inafanya waibe lakini ukimsukumia proposal kama ya egg-hawking hataki!

I know a Ugandan one who changed…
Now runs several legit biz na amefugwa na her former client…but shes the exception

That’s one in a million.