Unaeza penda dem yupi celeb ata kama tu nikuspend day nayeye

Manze mimi joh uyu dem anaitwa Avil kuna vile nakuanga nimemezea ronyute niaje… ata kwangu kwa wall nimejaza photo zake kuna vile ananisaidianga nyt yenye sina mshikaji na niko na sabuni ama vaseline

Mwenye anajua Avil ni nani anishtue tafadhali

1 Like

Wew

Wewe na wewe peleka makwapa za ngamia uko!!! Bora uelewe kenye nasema… anyway wewe unajua ku spell majina sana enda kwa iebc kuna majina mob

3 Likes

Hustle credo kabisaa mbwa ii

2 Likes

:D:D:D

Hapo ndipo sasa… enda ukavunwe ngano kwa matako njagili hii

1 Like

Mboch wenu

Ule mama wa serikali saidia !!

1 Like

this fool cant even get the name right. hii ni upuss gani mods wanaachilia kwa kijiji ?

2 Likes

Sasa juu wewe unajua kuspell majina zote unadhani utapendwa… kondoo

Niggah go get pregnant! Brare fakn!

2 Likes

high skool kids nonsense.

LET’S NOT FEED THIS TROLL…:mad::confused:

2 Likes

@Mosa si at least utuoshe mecho??

This is kinda a hard question. Who do I really want? I guess kujaribu lupita tena sii mbaya. I met her once. Vanessa mdee pia ningejaribu lakini anakaa mdogo Sana.

Nipe master list!. Some of these chicks I’ve met. I can’t think of any nitakufia

1 Like

Huyo avril nilimmeet akifanya acting building ingine kubwa westi.

Lucky you

I see…

Haha alikuwa job. Sikumkatia. And ilikuwa ile time yuko engaged… And then alikuwa anahead sides za kuwa momo. Saa hii amereduce. Oh pia tribeka akilaunch video yake. Mseto east Africa. Alireduce by then… Lakini anajifanyanga very politically correct nikama afai kusema the wrong things. It’s like Shes in a TV interview.

Wale kama sanaipei tande wako poa. If you want to meet singers enda karaoke ama mseto. Pia actors wengi huenda karaoke. Kama celina wa mother in law.

1 Like

Thanks mtu nguyaz