This the beating we used to get,,watoto wa 90's and -> ...cant relate
Chiefkiumbe Village Elder Oct 7, 2017 #1 Oct 7, 2017 #1 This the beating we used to get,,watoto wa 90's and -> ...cant relate Attachments video_2017-10-07_12-42-23.mp4 4.2 MB Views: 0
Chiefkiumbe Village Elder Oct 7, 2017 #5 Oct 7, 2017 #5 Dereva said: Ngojea wakuje Click to expand... sawa
A Aineabolingo Senior Villager Oct 7, 2017 #6 Oct 7, 2017 #6 Kamwana kama anakua conceived huko maralal
dude Village Elder Oct 7, 2017 #8 Oct 7, 2017 #8 Kate Yule Mweupe said: hahaaa, hio ndio kutoka teke ama? Click to expand... Long time
nairobilay Village Sponsor Oct 7, 2017 #9 Oct 7, 2017 #9 pseudonym said: Hii tuliona.... Click to expand... ...wakati huyo mama alitoshana na @DeliciousShiko
Electronics4u Village Senator Staff member Oct 7, 2017 #10 Oct 7, 2017 #10 Hii tuliona wakati Moi alikuwa headmaster pale Gabartojo primary.
D dingoo_wa_ingoo Village Sponsor Oct 7, 2017 #11 Oct 7, 2017 #11 Hako ka-dame vile kalitoka hiyvyo mbio kalikimbia straight mpaka kwa ark ya Noah. Noah ndiyo alituonyesha hiyo video [mimi na 'hii tuliona crew'] kwa ark.
Hako ka-dame vile kalitoka hiyvyo mbio kalikimbia straight mpaka kwa ark ya Noah. Noah ndiyo alituonyesha hiyo video [mimi na 'hii tuliona crew'] kwa ark.
gashwin Village Chief Oct 7, 2017 #12 Oct 7, 2017 #12 dingoo_wa_ingoo said: Hako ka-dame vile kalitoka hiyvyo mbio kalikimbia straight mpaka kwa ark ya Noah. Noah ndiyo alituonyesha hiyo video [mimi na 'hii tuliona crew'] kwa ark. Click to expand... he he... halafu Sem ndio alikapatia massage?
dingoo_wa_ingoo said: Hako ka-dame vile kalitoka hiyvyo mbio kalikimbia straight mpaka kwa ark ya Noah. Noah ndiyo alituonyesha hiyo video [mimi na 'hii tuliona crew'] kwa ark. Click to expand... he he... halafu Sem ndio alikapatia massage?
WuTang Village Chief Oct 7, 2017 #14 Oct 7, 2017 #14 The great prophetess Syokimau foretold this before the coming of the great metallic snake.