Uncle Njau

Love!!!

Uncle Njau:

If there is something that Kill more than any Disease is Love.
Love make a man Travel Long Distance.

Come to think of it, My Late Uncle was the Coolest I have ever experience and have. He is the one who introduced me to the world of Technology. when I was growing up I found him repairing Radios, TV’s (black and white aka greatwall)
And deu to been close to him i gained some experience, how to solder and ditect the problem. And because I was young at age of 10 years, my brains was Sharp, Not like this Day am Fucked up by life serounding.

That was Early before He get married.
When he get married, things started changing slowly by slowly to worst. The wife started matharao ya kunifukuza eti am starbon. Mara nakaria viti na uchafu, Mara nakura chakula ikiwa jikoni. Things get to worst and I had to Buck of.

I remember one day alinisingizia eti Nili ingiria kwa mwanya nikachota githeri yake. hiyo kitu iliniuthi mpaka nikasema one day nitajilipisa.
Later I come to know the hatled she had was that She was insisting my Uncle to sell some piece of Land wajibabe na hizo ndoo. my mum akajua na kuzusha. Ikabidi shamba ligawanywe Uncle akae na yake na mum na yake. I remember in one of the Family meeting my other Aunt told my uncle not to sell even a piece of land eti Land ya kuachiwa na wazazi haiuzangwi inakuanga na laana. But my uncle could hakutaka jua. Ile Love Poison alikuwa amepewa na Derila hainge muacha.

Later on akauza nusu. Hizo pesa walizikula in 4 months. you can imagn 1.5m in 90s was a big money. Huyu mwanamke alikua saitani. Alichukua pesa akaeda akajengea mamake nyumba ya 4 bedroom. By then First born was 1 and a half year. By December thy had no money.
Life ikamchapa akaingia kwa kichaka kukata miti na kuchoma makaa. by then ngunia alikua anauza 200/- Now the Boy is 5yrs old and they are expecting a second born. Huyu mwanamke alikua anampea uncle pressure wacha tu.

After she gave birth for a second Son, the third month wakakata piece ingine wakauza. ikabaki Ka piece kidogo kama 100*50 ft. Wakahamia Nakuru wakabuy Land huko. ile nyumba ilikuwa huku wakaibomoa wakaeda nayo. Ile matharao waliacha kama wamemfanyia my Mum wachatu. I remember my mum akiwambia malipo ni hapa hapa tu dunia. Endeni salama na mungu awe nanyi.

Now After 1 yr we get buck to my Dad Place. Mamangu walikua wamekosana da Dad wakatengana like 5 yrs. Though sisi watoto Tulikua tunaeda kumtembelea.

Back to the Story …After walihamia Nakuru, my Uncle alipewa Cold war na huyo bibie, akakoda mpaka akasikwa na Blood pressure. Ugojwa ukamchapa na hakuna WA kumuangalia ju ata watoto niwachanga. 2 yrs Later I remember nilikua na katakatia ng’ombe majani nikamuona ameingia na Gate ya kwetu. Sikuamini ni yeye. Nikamuita my Mum nahapo chini alikua anaparilia sukuma.

My Mum kumuona Alilia kwa Uchungu mpaka Mimi nikasikwa na huzuni nikalia pia.

He was soo wick hungeamini ni yeye. Mum akamuliza ni nini baya my Brother??? What has happen to u.
Uncle akamwabia mum wacha tuingie kwa nyumba nitakupa maneno. Alituhadithia vile kulieda wife akamdanganya waka buy 1 arcle hizo pesa zingine hakujua kwenye zilieda. Uncle alitoa makaratasi kwa mfuko akampea mum na kumwabia hiyo ni title deed ya ile samba ilibaki, kesho asubuhi nataka unipeleke kwa Land Office I want to change the Name niadike ya my Son First born. When I die hii title utampea my Son when He Reach 18 yrs and above.

Its like He knew his death was around, After changing names He was admitted to Kiambu hospital and on the 6th day, he die. All that time his wife didn’t show up. I called her but she never came. When my Uncle die she came at 3rd day at Macakaya, with all the pretending and crying, “maithori ma mbaka”.No one was on her side except her family. I remember Day ya mazishi hakuna pucha zilipigwa.

After Mazishi kila MTU akarudi kwao. Now Last year 2017 January The wife to my Uncle decided to get back home, on the land his Husband was Buried. According to the information her Mother who has been her accomplish all the time. Went to Nakuru akamboa nyumba yao. hizo mabati wakabeba na Lory then akaja huku akawajengea One bed room. The intention of her coming back was to sell the remaining piece of Land. Luck or unlucky thing is that she didn’t have the title Deed and the ID for my Uncle. So she was trying to get death permit mlango ya nyuma with the help of chief.

After all her plan failed, she started insulting My Mum Calling her all the name. She even reported my Mum to police, of which we went there and explained everything and the reasons we can’t give her title deed.

Early May Akasikwa na Pneumonia akalazwa Hospital. After one week Daktali akasema she’s doing fine and the next day she will be discharged. The following morning akamka 5:30am (the information we get from her bed side Patients) akatoka inje kidogo. then akarudi na kusema the night is too long, anawish Masaa isonge SAA mbili ifike apewe ruhusa a home. Akajiwekelea na kujifunika. kumbe ilikua her last chance. She never woke up. @ 8:00am doctor came for routine check up. Akauliza huyu Leo hamki? Ama hataki kweda home?? Wooi, on opening the blankets alimpata amekodoa macho. akampima na Ku confirm she’s no more.

Mazishi ilitayarishwa na watu wao bila kujulisha familia ya upade wetu. sisi tulistukia kuona watu wakichimbua kabuli. No one attended mazishi, ata watu wa kijiji. alikua amechosa watu wote. Funny jokes after mazishi Watoto wake walifuruzwa na Cucu yao na kuambiwa warudi kwao. Note that zile pesa zilikua zimechagwa za mazishi alichukua zote. hawakupewa ata 10 Bob. Nkt!!!

Walikuja hadi home and explain to my mum vile wamefanywa. Mum hakuwafukuza, The first born is now 17 yrs and second born 12 yrs. Both are Boys. first born amemaliza Form 4 LST year and now he’s doing mechanical course. 2nd born is now at Class 6. When I look to this child I feel like crying, my heart felt pain. I wish I have a chance to bring my Uncle back to life Again. May He Rest In Peace.

Wanawake sumu

Nimewitness hii maneno…wanawake laana

% pole its cycle of life. You’ve had lessons learnt. Keep them, they will be your assets in future when your time comes

What a sad story. (Sad emoji x5)
On a different note- Kizungu unajua lakini your spelling is horrendous

Sad story, greed for wealth brings out the demons in some people,

Side note: @introvert saidia na sketch. Osungu dll. has stopped working! Matamchi manasumbua!

What a sad story! Great lessons for all.

not all wimen some women …some will mend you some will break you even more choose wisely