uncle uwes

Nimeenda majuu mashida nimewachia THIS IS CHIETH[ATTACH=full]1720[/ATTACH][ATTACH=full]1721[/ATTACH] [ATTACH=full]1722[/ATTACH]

uncle…vile hiyo ndege imechapa uko sure unaenda majuu? lakini juba pia ni majuu…kila la heri usisahau kuupdate momo wa majuu

1 Like

Swafi emali naconnectia dubai nikienda Sweden

Uncle hii ni Cesna ya kwenda KaKuma.

hii ni ndege ya mirra?

Mbicha ya Uwesmake akiwa majuu to meet ktalk’s threashold.

Nimelala kwa ndege

Na uachane na mambo ya pinhole. Nunua kitj ya megapixels mob

Hio ndege iko na ma scratches ivyo inaeza toka kenya kweli?

kakuma sweden tent

1 Like

momo ndayaires??

Ngojeeni coomer za momo za majuu

[ATTACH=full]1733[/ATTACH]

Europe bado ni winter uncle

Hapa ni dubai naconnect

Kwani winter swimming pool ina dissappear

2 Likes

:D:D:D:D:D

Mmmm

peptang

uncle Uwes, kuna ile momo ya OLX advert kila time nikiona hiyo advert nakumbuka Uwes.

Hehe dabu kali