Nimekaa Nikafikiria Sanaaa.
Unga Ya 50kg Ni 2,950 Na Cement 50Kg Ni 680.
Kumbe Kujenga Nyumba Ni Rahisi Kuliko Kujenga Mwili, Nisiskie Mtu Amenona Na Hana Nyumba…
4 Likes
sasa twambie how your chapo or ug tastes with cement
1 Like
uliskia wapi shamba la limestone na gypsum?
Whatsapp driven joke
Wapi mbisha ya “kujenga mwili”