Ungrateful Friends

Status
Not open for further replies.

chicha

Village Elder
#1
This is not sexual in any way.So there's this long time friend whom we have schooled together through primary and high school.So mimi nilikuwa mashughuli zangu mtaani then I bumped into this guy kwa stage ya mat, alikuwa amebeba bags so I asked kwani what's up.. Akanishow anatravel to kisumu from malindi but anapitia beste yake ndio aendele na safari , kujuliana hali nini nini na kupeana phone numbers coz sikuwa nayo. Btw this happened like a month ago. so mimi nikaenda shughuli Zangu kurudi after 3 hours hivi the guy is still there.. mimi nikaenda kwangu, after a few minutes, the Jamaa calls akasema Ako stranded mtu alikuwa ampick hajashow up so as a friend I invited him over nikaenda kumpick stage. I expected him to stay for that night only.. apparently akachapa weekend mzima kwangu but singeweza kumfukuza. Sasa mimi si mtu wa kutulia kwa nyumba sana that sato mimi nikajipa shughuli.. apparently this guy Ako na mrembo hiyo mtaa..Sasa mimi kurudi majioni napata Kijana na mrembo kwa nyumba.. aka niintroduce, sina beef na hiyo though I felt this guy hakuniheshimu by bringing a lady kama siko.. nashuku Ali DF kwa kitanda yangu (that's the sexual part for those might be asking na mambo ya sex iko wapi).. That aside after kumhost I realized one of my jeans trousers is missing .. but sikumuuliza at that time.. Fast forward to this past weekend on Saturday. Nilikuwa ninatoka church hapo holy family basilica from a friend's wedding.. nilipokuwa narudi katikati ya jiji, nikakutana na huyo Jamaa na mrembo wake wakibangaiza kwa bench za kanjo hapo opp hii place watu humeet..( can't remember the full name bt something gardens.).. I just couldn't believe my eyes.. Yaani after nimehost huyu fala aliniibia trouser na the worst part, anaidunga.. Kama Mwanaume sikutaka kumchomea na Labda kuharibu r/ship yake.. but I kept looking him in the eye na pia naangalia hiyo trouser amevaa.. Jamaa was visibly shaken coz anajua he's busted.. so Nikaona wacha tumalizie hii maneno kwa whatsapp.. this is how it went down. Hii Sio hekaya.. Mbisha in form of screenshots iko Screenshot_2015-06-29-14-52-37.png
 
#5
Watu wengine hawananga respect. Just because you respect someone's property doesn't mean they'll respect your. With nikkas like this, you have to be firm even if it isn't in your nature.

Na hakuwai enda Malindi/Kisumu?
 

WuTang

Village Chief
#15
Always set boundaries. Na usiinvite watu kwako ovyo ovyo. I've been forced to turn down several 'friends' seeking to crash in my place on several occasions by telling them I am not around. That always works.
 
#18
I have hosted someone and lost my ipad, wallet (business cards most important plus IDs, pesa na upuzi kama hizo) and a nice jacket i had barely worn twice. I mean, if someone can get this petty, kuiba ata nguo na tuvitu wasiwasi, what cant they do?
Nowadays i don't even tell someone off, hio ni kazi ya mwenyeji. She will ask you whom do you want alafu akujibu, "huyo haishi hapa".
 
Status
Not open for further replies.

Top