Sitawai sahau wakati kulikuwa na demo nikiwa mwanafunzi hapo UON. Mimi sikuwa na habari eti kuna mgomo, ‘comrade power’ or whatever, nilishtukia tu makarao wako nje ya room.
Mi niriruka kutoka 2nd floor, bahati tu sikuumia.
During my time there, I had many near miss vs the guys in blue. This days, cops are more humane. Siku moja nitapeana hekaya.