Upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam kuongeza huduma ya mizigo hadi tani Milioni 28 kwa Mwaka

[ATTACH=full]177125[/ATTACH][ATTACH=full]177124[/ATTACH]

Hivi changamoto ya bandari ya salama ni uwezo wa KuDock meli au ni sharia mbovu za mifumo ya kodi za forodha?

!
!
Hawafahamu Wanachokitaka

Hili ni jambo jema, je shida ya mizigo na mapato bandari ya dar sasa ni eneo la mizigo au sheria za kukomoa?

takwimu zinasema mambo ni mazuri

mambo mazuri kweli kweli

Haya ndiyo tunayoyataka

HV KOCHA WETU ANAJUA MAHITAJI YA WACHEZAJI WAKE?

Sawa kabisa…

Mkuu…wanapanua bandari wakati hakuna meli za ku dock.

Mkuu Maajabu hayaishi duniani zaidi nchini Tanzania!

Tatizo binadamu ni wabishi sana…

Utaongezeje parking ili hali parking fees bado siyo rafiki hakuna kitakachofanyika…

Cc: @Mahondaw

punguzeni tozo za ajabuajabu bandarini, mnafanya maisha yawe magumu kwa watanzania wanyonyaji wakubwa ninyi

Tatizo ni kuwa ccm wanadhani bado tupo 1970 na nchi za kusini mwa afrika bado zinapigana.
DRC wamekuwa wanaitumia bandari ya Dar es Salaam kuwa reli ya Benguela haikuwa inatumika kutokana na vita. Leo hii Angola wameifungua hiyo reli na kutoka bandari ya Benguela hadi Kinshasa ni karibu nusu ya umbali wa kutoka Dar hadi Kinshasa. Mtu mwenye akili ya kawaida ata-opt kutumia bandari ya Benguela (cheaper and faster delivery due to short distance).

Kwa maana hiyo Jiwe anawekeza kwenye standard gauge railway ambayo soko lake ni mostly Rwanda, Burundi na DRC mashariki. Mtu aniambie kama uwekezaji huo utaleta vipi manufaa yanayotarajiwa. Better option would have to rehabilitate the existing rail lines.

Uzalishaji wa ndani nao ndio huo unaowekewa vikwazo vya makusudi kuua private sector ili serikali ndio ifanye biashara. Sasa kuongeza cargo handling capacity Dar port kutaleta manufaa gani? You don’t need to be an economist to know this.