update ya billionea Msuya

Aisee ilikuwa inaelekea mwishoni any updates,Magafu aliwachomoa au

Sijui,kwanini awatoe sasa…?

Anayejua muendelezo wake atuwekee hapa tafadhali Ile kesi ilikua very interested

:oops::oops:

Nilijua mleta Mada kaja na mpya

Mh!!!

Yeye ndio alikua anataka mpya