Updating Xiaomi...

Ok wale watu walituadvice tununue Xiaomi mkam hapa… Nimepata update ya miui 9.5.3.0 but sasa I’m worried about kuhave kuformat simu ndio isimisbehave is it a must?

did you format your previous phones?

Mainfinix hua na updates kweli

ALA!!! Yaani huko Mediachieth you get Zero updates? Welcome to civilisation. No need to format your device, it won’t misbehave

@Jimit utahama lini?

:D:D:D:D

OS update ni moja tu and then wanakusahau

Fiksed

Just update your phone.Yangu nime update more than five times and the phone has never misbehaved in any way.

After the update, you’ll only need to restart the device, not format it

Wee unasema five times mimi hupata updates weekly my fren na sisumbui :cool: natumia global beta rom (ya developers)

Be very careful kama ulijaribu rooting your Naomi! If not, then go ahead and do it.

Not rooting! I mean then go ahead and update your phone!

Whenever you get a major update (mediachieth or nyapdragon), it is advisable to do a soft reset on your phone

Na sisi wa A10 tufanye nini?

A10 ni simu ipi?

Hehehe yaani huyui A10 ni nini in respect to nyapdragon and mediachieth?

You need prayers first

Najua Apple socs are called A10 fusion but in this context, we were talking about Android and not walled Garden OS

@vuja de alisema watu wa nyapdragon na mediachieth should do a soft reset after update nikauliza na wa A10 wafanye nini.

Naona ulikuwa umelala ukitype

:D:D:D:D… Na iukuwa update ya hizo junk apps zao, hata sio OS. Security update ya mwisho hukuwa ya kitu ka June 1985.

watu wa A10 buy new phones after major updates juu their phones become too slow for life.
werevu just replace battery