Upgrading A Pigsty

Wamemaliza chipping the floor. Tiles zinaanza kulalishwa saa nane. P

[ATTACH=full]263132[/ATTACH]

Halafu hapa budget imekataa,ikabidii msee atoke nduthee mbaka Il Bisl akalete ile rangi ero hupaka kwa nywele…imeshika zaidi. @Randy waambie what we call that red colouring…
[ATTACH=full]263133[/ATTACH]

And the last kicks of a dying pigsty construction project have started… Camera ikajaa ‘fumbi’[ATTACH=full]263134[/ATTACH]

@Motokubwa stay tuned uone what we do with paint…

wakati utaweza kununua rangi ya crown paints ukuje tuongee,paka yako ya gikomba bila kunisumbua

Red Oxide

siku hizi unaringa sana sababu uko na crown paints mob umeficha kwa store miaka kadhaa

Ile yako ya suspicious blue or was it turquoise ilikuwa ya Crown? End a Olengoruone ukandanye masai huko…

niko mpaka na chlorinated rubber paints, cheki bei ya hio paint si ya watu brare fukin kama wamaredio

Unajipanga pole pole ,bora hulipi rent .

Lead oxide

Sikuizi uko na kiburi…:smiley:

Tile zimepitwa na wakati kuja nikuizie laminate board’s.

Laminated floor boards all the way…tusafishe nyumba easy easier easily. Carpets out also.

Laminate boards uzia watu wa off plan. Huku mashinani hatuwes hiso. Hata hatujui hiso ni nini

Bei sio mbaya ni 1950/sqm supply and fix… pewa quotation ya tiles alafu ucompare na io bei the price is almost the same .

Hio ndio kitu gani tena, tunajua tu tiles ndio kufika.

:D:D waah mimi nilikua naskia fundi akisema “red” kwani inafaa kua lead?

Learnt this today too

Buda, ukiwekea wife izi kwa hao you will be treated like a king… all she has to do is use a damp mop to clean them.
[ATTACH=full]263146[/ATTACH]

leta mbisha tuone bana

Durability ikoje

You are sure about this pricing? Seems cheap to me