Upigaji mbizi katika utotoni wetu

Leo hebu niandike katika lugha ya taifa ambayo pia ni mojawapo ya lugha rasmi ikiwepo na Kiingereza. Vijana wadogo ambao walizaliwa baada ya siasa za vyama vingi kurejea nchini pengine hawatanielewa au hawatalielewa kumbukumbu hii.
Nayo kumbukumbu yenyewe inahusu jinsi tulivyokuwa tukipiga mbizi katika utotoni wetu. Inahusu upigaji mbizi katika mitoo na katika maji ya mvua yalijikusanya katika mabwabwa maarufu kama ‘dufo mpararo’. Hawa vijana wamezaliwa nyakati ambapo kuogelea kunafanywa katika mabwawa maalum ya kuogelea yaani ‘swimming pool’ katika lugha ya kimombo. Hawana ufahamu wa kuingia ndani ya kidimbwi chenye maji ambayo huwezi kuona chini yake. Katika kujitayarisha kwenda kuogelea ni lazima ungebeba mafuta ya kujipaka mwilini na haswa usoni kwani baada ya kuogelea ulikuwa unaparara mithili ya mtoto aliyecheza kwenye vumbi. Msimu wa mvua ulikuwa ni msimu wa furaha kwa maana ya ‘dufo mpararo’. Kunao baadhi ya watu ambao walikuwa na utovu wa heshima na walikuwa na tabia ya kujamba, kukojoa na hata kwenda haja kubwa ndani ya maji haya ya kuogelea wakawa wanawaharibia wenza starehe. Ulikuwa ni utundu mbaya sana. Yote tisa, kumi ni kwamba kumbukumbu kama hizi ndizo ambazo hunifanya kusema ya kwamba utoto wangu ulikuwa wa raha na furaha.

Na kwa hayo yote yanayohusiana na maneno ya ‘dufo mpararo’, sina la ziada kwa sasa ila kuwakumbusha umuhimu wa kujamiiana. Ni lazima kitendo cha ngono baina ya mke na mume kidumishwe. Ni sharti makende yaingilie tupu ya mbele ya wanawake na kisha mwanamke na mume wote wapate kufurahia na kufurahikia. Ngono ni kitendo kisicho na budi na kama ijulikanavyo lisilo budi hubidi.

Sijasoma…kiswahili kifukuzwe

https://www.youtube.com/watch?v=QaehNoIEhvw

Maybe it’s his teeth :D:D:D…I also used to find him weird lakini siku hizi napenda hizi clips zake saidii. Plus yeye huwa na ma-slay queen wengine wametii kwa hizo clips zake ;):wink:

https://www.youtube.com/watch?v=Ydk4VA4dqXw

Yeah, unazoea, you stop concentrating on the teeth and weird shaped head, then start to really concentrate on the message and realize he’s actually a funny person. Alafu most of his clips are about things that happen to the “normal mwananchi”, so relatable. Even the way he advertises products in the clips, he finds a way to incorporate the brand in the story, so ata kama ni advert you appreciate the effort :):slight_smile: