Upuss ya Talkers wengine.

@admin umefanya vizuri kung’oa hio thread ya hio paka inaitwa Shoti mzito.Sijui ni shoti ya kamasi au usaha maanake ana upuzi na ulegevu fulani akilini.Sijakuja hapa matusi lakini mtu kabla apost kitu si afanye tu kitu inaitwa due diligence badala ya kuharibia mtu sifa na kina na kukojolea kitunguu na kunya kwenye mchuzi wa mwenzake.Sote tunatafuta riziki sio kutafutana aisee!!

Mbape just scored for France. 1 nil and game on…

Uzi wako ni mzuri lakini si ungeacha hayo maneno yaishe tu vile yameisha? Nimeenda kujibu kwa huo uzi kumwambia @shoti_mzito hajafanya kitu poa nikakuta uzi umeng’olewa na nikasema sawa tu.

Iyo fala inajisikianga sukari sana. Bure kabisa.

You guys are still here? Real men are busy making money or watching France VS Peru for those who have closed businesses today. Ni wanawake ndio wanasengenyana bado, blarry… …

Ningependa yaishe lakini jambo kama hilo likinyamaziwa halina budi kutendeka tena.Na huenda mara nyingine likawa na madhara zaidi kwa aliyekosewa maanake vivi hivi ndivyo mtu hujipata mahakamani akijibu mashtaka ya kosa ambalo hakutenda.

najiskianga sukari na pesa ya mama yako ama?

Wajua maana ya kusengenya??Kama umekosea kubali na uombe msamaha,kosa sio kosa,kulirudia kosa lile ndio balaa zaidi.

wewe nita deal na wewe after game, sokwe mtu shoga mwana mume…

haya basi…yandwele sipite tena hayo ni maji ya kifuu…

Wanaume wako na umama sana hapa, I have personally spoken with @syndicate na hiyo story tukamaliza, na YEYE.

He is a hard working young man whom I personally know, we work together and we shall continue working together against the wishes of many here. I was just a bit concerned with a ktalker’s complain, which I somehow misunderstood.

Nyinyi wanaume mabini, what’s irritating your arse holes? Schuuuuuupit… [ATTACH=full]178441[/ATTACH]

:D:D:D:D
Atleast be original with the insults maybe then i might be offended.This is exactly what i was talking about where did i mention money?Grow the fuck up

Na sasa wenye tulikuwa tumeomba ku subcontractiwa tusaidie @Jimit tukae upande gani…Niko na solution ya hiyo shida yake

What more do I need to grow? I’ve grown in literally everything young fella…

Some brain cells perhaps??

Ujinga ndio huu sasa. mbona hukumpigia simu upate ufafanuzi kabla ya kuuweka uzi?

Men but where is all this coming from??? I just asked for a simple question, now everybody is on my throat.

Majamaa, aki wacheni nione game France iki dry fry mtu halafu tuongee baadaye. I’ve had a long, long and busy day…

Exactly ,This is not the first time he is doing this type of shit Juzi he posted a picture of naked girl and talkers we in on him. That post was malicious as can be. Shitty character!!

Wewe kijana wacha umama and [ATTACH=full]178443[/ATTACH]watch some football. Ama hauna telly?