US AMBASSADOR DOUBLE LIFE

uwesmake

DRYFRY ARTIST
#5
ngombe leta summary

Kuna farouk kibet wa UAE alirushwa pale Washington D.C. akuwe wheeler dealer btn USA na UAE alipokuwa akilainisha maneno alikuwa mkamuaji mulevi sana house party za Chris kirubi wa huko ndio alikuwa anacheza daily na kina Uwesmakei wa huko after waks . Sasa William ruto wa huko akampea kazi ya kusimamia NYS ya huko na jamaa akavuka na 1 million dollars ..... nikaachia hapo .
 

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top