US Prisons

Status
Not open for further replies.

Lifeist

Village Elder
#7
Compare the size of USA and Kenya? 2nd cheki jela ua USA plus chakula ya wafungwa..compare that 2 Kenya.. 3rd cheki mshande ya prison warden USA vs Kenya..so many tofautiz
Wanatambua human rights....lol

Mambo na food doesnt really matter cz huko a meal is very cheap! A dollar can get you overfed! Although sio ugali kunde nyama!
 
shocks

Village Sponsor
#11
The USA prisons cost them 39 billion usd per year while our national budget in kenya is 20 billion usd for year 2015/16. Fathom that
uki compare hivyo utakuwa stressed bure, budget ya new york city ni 78.3 billion, almost 4 times budget ya Kenya

Which part brathamen? Ya dollar kukufanya uvimbe tumbo ama?
I hear the same thing, apparently KFC huko ni kama ile fast food inaitwa rock city pale odeon. Huku KFC iko kwa zile malls kubwa pekee
 
Last edited:

Koolibah

Village Sponsor
#12
uki compare hivyo utakuwa stressed bure, budget ya new york city ni 78.3 billion, almost 4 times budget ya Kenya

I hear the same thing, apparently KFC huko ni kama ile fast food inaitwa rock city pale odeon. Huku KFC iko kwa zile malls kubwa pekee
KFC na Subway ni za masufferer mawatchie watu wa kufyeka hivi hivi. I laugh when I see watu wa Lavi hivi hivi wakiswag atiwametoka au wanaenda KFC
 
Status
Not open for further replies.

Top