Usafi

Traditional African societies defined men as people who hardy and not soft. But that is no excuse for not maintaining proper body hygiene.

Having graduated from using a “gunia” to shower many years ago, yesterday I came across some stuff that gave me a similar experience.

Inasugua mwili until all the pores on the skin are unclogged and removes all the dirt from the epidermis.

It has a softer upper side for the body, and rough side for kusugulia mguu.
[SIZE=2]
Najua mjamaste wa kule Ujeruste hawezi relate.[/SIZE]

[ATTACH=full]227955[/ATTACH]

[ATTACH=full]227956[/ATTACH]

Hiyo ndiyo unatumia Kawasaki[ATTACH=full]227959[/ATTACH]

Wewe naona usipoenda Njoguini kukula chakula kichwa yako haiwezi think straight.

Hii ni kutesa mwili Bana. I only use my hands and soap while bathing. Doesn’t even need soft cloth.

:oops:
Upus.
Kwani unashindanga ndani ya jwala?

What the herro! How do you reach your back with that disc like fraud? I have a trusty gunia which reaches all over and everywhere :smiley:

Suthru ya Gunia or one made from fishing net make the best, we @ChifuMbitika endelea tu kuoga na mkono na sabuni gwara sana your balls na mkundu mpaka makucha yawe nyeusi

:rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Hiyo ni kama kuosha samaki sasa.

Legends might recall
[ATTACH=full]227973[/ATTACH]

Hii naielewa sana.

Kienyenji wife
[ATTACH=full]227989[/ATTACH]

hii ndio babayao

Mwanaume ni kuogea kwa cave ndio usugue mwili kwa mawe.

Hii haikosangi kwa bafu[ATTACH=full]227994[/ATTACH]

Blergh! Are people not seriously using wash cloths while showering/bathing?

:D:D:D and drying yourself outside the cave on the hot rocks. kwani iko nini

Mwanaume nikuosha undergarment ndio uanze kuoga Kwa muto ikimaliza kuoga imekauka unavaa.

usilete hekaya omwami

Undergarment huvaliwa na watu kama @ChifuMbitika .
Wanaume huvaa ngodha.