Usaidizi kiasi

Shida inaweza kuwa nini hako kakitu hakatoki [ATTACH=full]104853[/ATTACH]

…Unapiga picha flash ikiwa on???

Hapana hiyo kitu iko ndani ya tv

…Start budgeting for another set, unless iko na warranty and it’s not physical damage.

Hii vitu ya China mlikatazwa. Most likely warranty imeisha last month. Haya sasa tafuta syndicate kwa inbox.

Itabidi but iko na four years na haijawahi nisumbua