Usalama wetu huku Ugenini upoje?

Kuna kila sababu za kuhide identity zetu at any cost, JF is no more even if itarejea kwa hewa but people wont trust them, sasa je usalama wetu katika hii forums ya kenya upoje tumesoma na kuchambua privancy and policy zao, we need to maintain this anyomity to assure we are safe here

Afrika hicho kitu kinachoitwa “Privacy” huwa hakiheshimiwi kabisa, kwa ivo kama umeamua kuingia kwenye ulingo wa kupigania haki ya kuzaliwa ya kuwa huru, uwe tayari kulipa gharama zake!!

@The Tweet jibu swali, nilikwambia anzisha uzi juu ya hili hukutaka.

Na pia kaa ukijua wengine wamekuja huku kikazi ,

Usalama wako ni uelewa wako wa it maana si MDA wote watakulinda.

Sidhani km wote tunauelewa huo mkuu

Ukijua tu kuwa unahitaji Usalama ndo mwanzo wa kutafuita hiyo elimu ya Usalama kwa afya ya mwili na Roho yako
Pls usikimbilie kitu kama hujui utajinasua vipi
Kama vyote huwezi kuwa mpole tu na tazama wengine jadili visivyo na mlengo wowote ule.

Mimi kwa upande wangu na play part yangu vyema ila mods pia wanakila sababu ya kulinda taarifa zangu huko Pm mana wana acces nazo

Cha msingi Ni kuwa makini zaidi

Hili swali lilishajibiwa na @The Tweet

Cc: @Mahondaw

Hakika yapo huku yanatusanifu tuu

Mkuu ni sawa kabisa kwa tahadhari uliyotoa. Hivi ilie jf ya kule nyumbani ilikuwa salama sana kiasi kwamba tuoni hii ya huku ugenini ni hatari? Kwa taarifa yako wakikutaka hata kama uko nje ya Africa wanakupata. Cha muhimu kama unaogopa changia kwa kusifia na sio kinyume na hapo.

Shauri zenu. Huku unapigwa kabali hadi mitandoni. Wanasemaga hapana tambua! Kuna watu hapa wamepanick hahaha! :D:D:D

Kwa maoni yangu majasusi wamekita kambi huku, kwa hiyo kuweni makini sana

kumbe si kazi ngumu kivile kujenga taifa la waoga, kila mtu muoga, only one person in TZ ndiyo hana hofu - wengine wote ni hofu hofu - ndiyo tumefika hapa.

Jilinde mwenyewe…!!!

hofu ya nini

Rudi nyumbani kumenoga;):wink: