used nissan wingroad

gari ya 2007 hivi

majamaa nataka kubuiya madam hii gari .naomba mnielekeze ni bazaar gani naeza pata hii gari na pesa kama ngapi hivi.budget yangu ni 650-750k
[ATTACH=full]119841[/ATTACH] [ATTACH=full]119842[/ATTACH]

1 Like

Ni Toyota ama nissan wingroad? Sijai skia toyota wingroad

1 Like

have never tried it but the shape is really a put off to me

4 Likes

Culture unataka wingroad INA engine ya NZE? Toyota Wingroad ni gani tena.

6 Likes

sorry nissan.

edited.ni nissan wingroad my fren:D:D

wingroad ya 2007 haifai ifikishe 700k. labda kama ni toyota axio.
hiyo nissan ni sura mbaya and too basic. shikia yeye 2009 lakini ujue gari sio number plate ama year of manufacture. And most kenyans sell junk. You are in for a month or two of maraundi na stress.

4 Likes

nataka either nissan wingroad,bluebird,toyota axio,premio,tiida kwa hio budget ama less.

ladies can drive any car.sura sio issue for now for her

Sura mbaya but very practical. I also used to dislike it but I realized watu wanainunua know what they are doing. Shopping basket ya mama. Weekend inabeba produce from ocha quite easy.

7 Likes

F*ck me! Hii ktalk ina mambo. Unataka kununua gari na hujui ni make gani? Hehee smh hii mambo ya prado x6 itaua sisi

9 Likes

what do you mean sijui ni make gani.?thats just a simple mistake .

Tiida the better. unaeza pata ata four wheel I guess. lakini ni kadogo. bluebird ni kubwa kama unaeza vumilia sura. pia kuna bluebird ziko na engine kubwa 1.8/2.0 L. premio 2007 na hiyo pesa utapata reject. axio utapata lakini turepairs twa drive train hauwezi hepuka. ni kawaida kwa gari za FWD juu front wheel assembly inapitia stress mob sana turning, driving,na braking. pia unaweza tafuta axio luxel 1.8L naturally aspirated ama turbo. Ndege hiyo. Alafu tu nikuchape advice gari ni body. everything else is easily repairable. ukitaka kuboeka nunua gari imepigwa rangi na filler kila mahali.

5 Likes

To be fair he has conceded that he made a typo and he went ahead to correct the mistake

4 Likes

Weekend inabeba produce from ocha quite easy.

thankyou

1 Like

i need people like you bro.nimepost hapa nipate mawaidha kama hayo.thanks

2 Likes

:Dpewa [/USER] [USER=3524]@coldpilsner ingine na hii baridi nitalipa

nunulia yeye TOYOTA WISH, trust me way better and requires very little maintance than this

2 Likes

Alafu unless unaingiza kenya wewe mwenyewe hakuna bazaar utaingia hivi uone gari second hand poa. itabidi uweke gari mafuta uzunguke kila mahali. na mwisho yake gari utakuja kupata olx kutoka kwa individuals. uchunge tu usipeane pesa bure. gari uuziwe na mwenyewe/wenyewe jina yake kwa logbook na transfer online mfanye ukiona. Stori mingi ati bado hawaja-update, sijui gari ni ya cousin/bro/buda yangu achana nazo.

3 Likes

Baba, hiyo budget yako inatosha wing road ya 2010 to 2011, check trade car view then kama unajiamini import it yourself, it will take 6-8weeks na uichukue Mombasa

https://www.tradecarview.com/used_car/nissan/wingroad/?fid=2010&jid=2012&mimn=50000&mimx=80000

1 Like

sante sana kaka