Username hapo juu

#1
@admin kuna vile iyo username inaeza letwa nahuku chini kwa web page? Nikisoma threads kwa public places unapata every time jina Ktalk plus yangu zinajianika wazi page ikimaliza kuload na shiny eyes wanajua wewe ni nani? Just a suggestion.
 

kermit

Village Elder
#3
good suggestion. na pia signature zidisplay with every comment we make. otherwise ni ya nini?
@admin also engage Ktalkers sometimes and tell us kama unaconsider some of these suggestions otherwise what is the point of the 'suggestions' category?
 
Top