Ushauri kwa Mkambala Ch10.

tumekufuatilia muda mrefu katika kipindi cha asubuhi ambapo umeonekana kuwa na mapungufu mengi juu ya uelewa wako au labda unafanya makusudi.ushauri wetu kwa kuwa huwa unaharibu ladha ya kipindi tukikulinganisha na wenzio tunakushauri uhamie Tbc

Aisee

Huyu ni kanjanja fulani anajifanya anajua kila kitu kumbe boya tu. mvuta bangi