Ushauri wa bure kwa Magufuli...

…kama kweli unataka idadi ya watalii iongezeke kwa kivutio cha usafiri wa anga basi achana na biashara ya kununua ndege ambazo huna uwezo wa kuendesha biashara yeyote yenye faida (and I dare say hutakaa uwe na uwezo huo based on your demonstrated attitude) bali promote usafiri wa anga kwa kutumia ungo.

Ndege umenunua kutoka kwa hao hao unaodhani utawavutia waje huku kwa kupanda ndege zao ulizozinunua kwao wenyewe (wakati wanajua safety standards wanazozitegemea huna uwezo wa kuzifikia achilia mbali kuzi-maintain), so forget about it. Cha msingi promote kuwa Tanzania tuna technology ya kusafiri kwa kutumia ungo (haijalishi abiria anatakiwa awe uchi - uchi nini bana mbona kwenye beach zao waenda uchi wa mnyama pia). Nakuambia ukifanya hivyo mbona tutapata maelfu lukuki ya watalii!

Duuuh,mkuu huo ushauri unaweza tuweka kwenye kumbukumbu za dunia.

Shime kwa jiwe na mwanae

Ushauri huu mzuri. Ma asipousoma hapa, mi ntampelekea mwenyewe

acheni kujisumbua na ushauri… sipangiwi au hamjasikia

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw

Nani atamsukumizia huu ushauri kama alivyosukumiziwa Urais…