Ushawai jiuliza kwa Nini huna pesa

Ushawai kosa usingizi na kujiuliza maswali ? Ulikosea wapi?
Mliosoma na wao wanaendesha ma gari wewe hata baiskeli huna ?
Ukiangalia fbk unaona wakiinua magorofa wewe uko ka self confused room ?
Ushawai jiuliza mbona watoto wao wanasomea private wako wanasomea public ?
Jamani hata Kama ni bahati mbaya ushawai jiuliza kwani ilihamia kwa maisha yako ?
Usijiulize Tena bro, usikonde bro , itaja siku njema …

@Unataka kujua ili?

Sometimes dont envy what you see in other people’s public life, behind the scenes many are struggling to keep the fake life, you might even be doing far much better.

Never compare yourself , otherwise you’ll loose your sanity .

I ask myself that everyday it’s called Karma

Your day is coming. Sisi wote tuko kwa line na kuna wengine walipanga line mapema…so vumilia na uwe mpole siku yako inakuja.

Haikuji mblo, hii karma ni coping mechanism ya the cruel nature of life.

Get out there and soil your hands to prosperity. Stop stressing yourself with shitty questions.

Solid point.