USHUHUDA

So folks hii hekaya ni ushuhuda natoa kwa Maulana……ngoja kwanza nimrudishie shukrani…….Amen.

So my big bro had been banging this chick from Lugulu girls. Yeye alidrop out of school but if you calculate very well, then you will find that by the time these events took place (2012), he must have completed college. So that makes his sexual escapades with this girl illegal. Sasa ikahappen huyu jamaa akaanza kupenda huyu mtoto hadi akaanza kumpromise the usual sweet nothings. Till one day akabafua simu …smartphone….sijui from where na akapea msichana wa wenyewe. You all know how precious smartphones were in 2012.

From that day of exchange, the girl went MIA(Missing In Action). I had just completed high school so one day he told me of this story and told me that he wanted the phone back. We called the girl ……simu inalia tuuuu till anakuwa mteja. So akatumia simu yangu na dem akashika. Akasema simu aliacha home kwao tuende tuichukue……yeye alirudi shule. (I know it doesn’t make sense that ako shule na simu yet tunaongea mchana but that’s what she told us). I think she knew bro angeogopa kuishia kwao but she was damn fukn wrong. The guy akaniuliza niende na yeye. I refused and refused till akaleta deal kwa table. “Mimi ata sijui kutumia hii simu ya kupapasa sa sina haja nayo. Nikiipata tutaexchange unipee hiyo yako na uniongezee mia tano.”….the deal sounded like a juice worth the squeeze so I jumped in. he told me the phone was ideos and I couldn’t turn down the chance to own my first smartphone.

Next day tukajiandaa tukangoja hadi kitu 5 jioni na sisi haoo tukaondoka on a black mamba bicycle….him riding… . Just when were about 1km to the place, tukashuka kutoka kwa bike na bro akailalisha kwa vichaka kando ya kabarabara uko interior ili kuificha. Kumuuliza kwa nini akanipa advice, “Ukienda kwa kina dame sometimes mambo huenda mrama na ikabidi ujitetee kwa mguu, so ukiwa na bike unaeza nyang’anywa.” So in that case leaving it far would mean that uko na time enough ya kukimbia hadi place iko na udandie chapchap….kikiumana zaidi unaacha bike kwa hizo vichaka then you come for it later at night when no one is watching. He was actually speaking from experience. One day alipokonywa bike ya kuomba but that’s a story for not today. We had to complete the journey on foot.

Kidogo kidogo tukapatana na watoi wawili wametoka kulisha ng’ombe ……(ocha mtoto kijana hutoka shule 4 anaenda kuchunga ngombe hadi 6 ndo azirudishe kwa boma.) bro akamsimamisha na kumuuliza ka ile boma tunaenda iko na kijana. We were told there was a boy there in form one but ako boarding so he doesn’t stay around. His name was Emmanuel. I asked him why he asked the question and another advice was generated. “ ukienda kwa kina dame at least jua jina ya kijana wa hapo because you never know whom you will meet. Ukipata budake au mamake unasema umeenda kuona kijana.” So we finally went in the boma and unfortunately, we met the mother……cuddling a baby to sleep. She welcomed us with respect and offered us tea but we refused. We wnt straight to business…my brother talked. The sky was preparing to urinate on us….rainy seasons.

He introduced himself as an army officer….well alikuwa amevaa raincoat na boots so she wouldn’t doubt him. I was just a mere high school teacher, just finished college and waiting to be posted. Mama kusikia hiyo intro akatuwelcome to the house. For obvious reasons we sat near the door. “Sasa mama tumekuja kwa sababu ya mtoto wako Emmanuel.” My bro started explaining how we have another small brother who stole his phone and gave it to Emmanuel and so “hatuma maneno mingi…tumekujia simu sisi tuende zetu” he explained in ‘afande’ accent that left me mesmerized….of course his story surprised me even more. I hadn’t even imagined he would be that creative. The lady said she hadn’t seen the boy with that type of phone….”Tuliambiwa alipea Grace dadake” bro akaongeza.

The old mama upon hearing that became hypersensitive. “Ama ni hii simu Gracey amekuwa akitumia, nilimuulkiza akasema aliokota. Ama nyinyi ni wakora mnakuja kutafta msichana wangu. Huyu msichana amenisumbua mimi na babake hata huyu mtoto nimeshika ni wake alizaa last year”…Tukaangaliana in surprice. Huyu msichana atakuja kuniua na vijana kwa hii nyumba.” We became restless….the lady wouldn’t stop talking. “Ngoja babake akuje saa hii na mkijaribu kitu ya ujinga nitapiga nduru muchomwe” our hearts started throbbing ….we started sweating. Baba akaingia. The man was huge akisimama kwa mlango hata baraka haziwezi penya ndani. Kumbe it happened the mzee was a retired army officer so akaanza kuuliza bro maswali about the force….zikamlemea. my brother jumped out…and who was I to stay?

It was around 7 now…giza inaingia but you could see ahead. The lady started shouting “weziiii weziii”…the mzee akafungua madoggy na kuanza kushout “Sikaaaa… sikaaa sika yeye Simba!!”.(Simba was the name of one of his most trusted dogs). They were 4 dogs in counting brethren. Zile zinatoshana na ndama. I could not use the path we came with, it was too clear na pia majirani walikuwa wameanza kujaa so ningeshikwa….one villager alijiona ako na nguvu akagrab bro by the raincoat. Akaachiwa. I took the shortcut…ilikuwa shamba ya ngwashe/mabwoni/viazi tamu. (You know how those yams are planted…with small hills where a lamp of soil inakusanywa like a small anthill…hope you get the picture). I was jumping from one hill to another while the dogs were behind me. I don’t know which path my brother took but all the dogs were on me na majirani walikuwa on the edge of the plantation shouting “shika yeye simba”) Simba was on me unyounyo……They say shetani akikutembelea hukuja na malaika wake. Well, walisema ukweli because one of his angels confused my legs na ikamiss the next hill. Nikaanguka.

Till this day I don’t remember how it happened but after mguu kumiss hiyo hill nilianza kutapakaa shagalabagala nikitupa miuu hapa na pale….i wanted to fall with a dignity at least ata nikianguka niseme nilijaribu. So in the process of kurusha miguu, one leg ikahappen kupata one of the dogs-(Simba I presume) in the jaws….Acha mbwa ya wenyewe ianze kubweka pwee! Pewee! pewee!!! Hizo zingine kuona mmoja wao amechapwa acrobatically pia zikaanza kuteremka mbio zikilia. They were literally scrambing for safety. Niliamka nikaona no one and no animal was on me but shouting was still there…fading tho. I hurried to the main road from where I called my legs to an urgent meeting and instructed them to take me home in the best way they know how….the Lord had saved me ….please brethren let me say another thanks giving prayer before I continue.

1 Like

Hekaya timaam

On point

pewa like brathe

Ha ha ha … Kali!

Noma sana

@uwesmake ulidrop out high school when?

:D:D:DHekaya swaf sana

huko ni Nandi hills? @Tarantinoh cunt relate

From the comments imefikisha threshold …wacha niisome

hhahahaha…Nimesoma and this hekaya is on fire!!! So what happened to your Bro?

Hii ni deni

sikaaa like huwe vsponsor

swafi kabisa :D:D sasa endelea tujue kama ideos ilirudishwa

nmeona simba sikaaa nkajua ni lakeside region ama nko wrong @Amore ?

:D:D:D

:D:D:Dpata like yangu kaka
maswali za kiforce

:D:D:D fery nice hekaya

Ya leo ni original iko sawa

:D:D:D Huyu ni way Kaimosi

Hii kijiji taua sisi. Hilarious.

Sina uswmi hapo