Siku moja huko VICARAGE ROAD STADIUM
Manchester united leta nyoko nyoko,ati wanataka mpiga WATFORD, Cross ikamiminwa sema ettiene capoue kufunga baoooooo:soccer:
Thitimaaaa!
Man u wakifungwa sema thitimaa!
Si manchester united tena wakaleta nyoko nyoko,ati wamepata lao la kukomboa kupitia rashford dakika ya sitini na mbili,sema Juan camilo kuwaongeza LA pili,dakika ya themanini na mbiliiiiii!..
Thitimaaa! Manchester united wakifungwa tena sema thitimaaaa! Uuuuuwi thitimaaaa:zap:
Si mpira ukakaribia kukwisaaa,referee akaongeza dakika Nne(NNE) manchester united wakidhani watakomboaaa! Bahati mbaya wakafanya masihara kwa lango lao,sema WATFORD kupata penalty (penalty) sema troy neey kumkunja De gea:soccer:
Mafans wa manchester walisikia kama Prrrrrrrrr:zap:thitimaaa!
Manchester wakifungwa tena sema thitimaaa!
USICHEZE na Watford bwana,usichese na Watford. Watford Ni Thitimaaaaa! Uliza hata MOURINHO anajua… Wachana na Watford
[ATTACH=full]58078[/ATTACH]
UPUSS YA FACEBOOK PELEKA MBALI
:eek::eek::eek:…:(:(