Usiku Circle - Kisumu Business Community Edishen

Fala 12

Kijana Fupi Nono Round
#8
The new ktalk super star anapatia watu wa nduthi fresh material ya kugurumisha nayo, @pseudonym give the people what they want ama wata anza ile wimbo ya haki yetu. S1E3 inagojewa mbaya sana.
And to think it all started with a dump in the bush, hehehe
Ebu tupee link ya first instalment ya hekaya
 

Top