Aki sijawahi ona watu wako na huzuni hivyo kama leo! Downtown Nairofi leo, wah!
Ata hajalose na wasee wanaona nikama dunia imeisha! Hawa wasee wanafaa kuwa na team yao ya ball wajue leo unashinda, kesho hushindi. Na maisha inaendelea
niko hapa harrys Tavern , Germany OV imeamua nikae hapa another 2 hours.