Mellow, Tabs fighting it out, shiny eyes hapa wanaslay watu @uwesmake uko wapi uone mrembo wa Nyeri.
Book register
0027hrs.
Am a religious member of Usiku Sacco. So I sign in at 21.34 my end and out as soon as. Have a good night peeps.
still going on strong.
Hayeeh!
STROOOOONG!!
ndio nimeingia underwater sasa
present lokeshen my buzness
Present…leo ni kuchapa mashifts, working 24 hrs. goodnight y’all.
Its good morning ma’am
Good morning darl.
Here it’s 8:36 pm.
@Purple , kwani uko US ama mecthico? hiyo time difference ni ya hizo ma areas!!
Niko north of Mexico.
sawa nimejua lokeshon asande… will visit one dei.
Leta hekaya ya Rio ukikamuana kwa favela omwami.
@Purple Leta feedback ya Lexus venye inakupeleka