Usiku Sacco, women Djs, Ntv

Mellow, Tabs fighting it out, shiny eyes hapa wanaslay watu @uwesmake uko wapi uone mrembo wa Nyeri.
Book register

0027hrs.

https://www.youtube.com/watch?v=srCCRam7CpU

Am a religious member of Usiku Sacco. So I sign in at 21.34 my end and out as soon as. Have a good night peeps.

still going on strong.

Usiku pserko yangu imenishow Israel Vibration - Vultures… Sensual stuff @Eng’iti tuseme leo hulali?

Hayeeh!
STROOOOONG!!

ndio nimeingia underwater sasa

present lokeshen my buzness

Present…leo ni kuchapa mashifts, working 24 hrs. goodnight y’all.

Its good morning ma’am

Good morning darl.
Here it’s 8:36 pm.

@Purple , kwani uko US ama mecthico? hiyo time difference ni ya hizo ma areas!!

Niko north of Mexico. :wink:

sawa nimejua lokeshon asande… will visit one dei.

Leta hekaya ya Rio ukikamuana kwa favela omwami.

@Purple Leta feedback ya Lexus venye inakupeleka