USIKU SACCO

Kwani funguo za wana ushirika wa usiku zilienda wapi?
Ikiwa wewe ni wa kunyapianyapia(night creeper) usiku,
Ikiwa wewe ni wa kutambaa usiku (night crawler),
Ikiwa wewe ni wa kukimbia usiku (night runner),

Weka sahihi hapa tujue upo!

Niponipo.Nimonimo.

Vipi Mwalimu Xuma

Rosemary herb kwa Kiswahili ni?

Ustadh umerudi na bashasha mpwito mpwito.

Nakuona Collina.

Poa kaka.
Nashukuru kwa kazi ya ziada uliyonipa. Nitakuarifu .

@xuma ile chieth ya kijiji ilipotesa kifunguo… Lakini its like you had a spare key.

Sawa nangojea

Poa kaka.
Nashukuru kwa kazi ya ziada uliyonipa. Nitakuarifu .

Hata ufunguo ukipotezwa, tutafuta mbinu mbadala.