Usiku sacco

#6
Leo, nimepitia hiyo WhatsApp group ya ndugu zako truckers nikasikia kulia. Jamaa wanalalamika mtu amewaanika leo tu, wao kazi tu Ni kuchoto tu ngata. It doesn't matter Kama unamove truck from position A to B, jamaa lazima akule ya ngata!

Kwa Nini do some drivers feel that after being paid a competent wage, they deserve to live the same lifestyle as the truck owner?
 
#10

kuna watu hutaka kujipendekeza kwa muarabu. watu wakiuza diesel shida iko wapi? kama tajiri hajalalamika mbona driver mwenzako alalamike eti unauza diesel?
 
Top