Usiku sacco

Mmesidaje wadau, hapa kazi tu, bila sisi hizo goods mnaita counterfeit, fake and brandnew secondhand haziwezi mfikia, hesimu trucker, we on 24 hrs, we oil the bearings of this economy.
mark register
yours truly ako busia anapimwa Ebola.
kesho naland mlolongo

[ATTACH=full]242929[/ATTACH]

TBT
Some 30 years ago, on July 11, 1989, this KQ’s Boeing 707-315B crash landed in Ethiopia’s Bole International after its landing gear failed. It was written-off
[ATTACH=full]242930[/ATTACH]

There is still time to have it called The Meria Disease… Pimwa kabisa. Halafu usema no ya kilo ngapi for classification purposes…

[ATTACH=full]242934[/ATTACH]

Wengine wetu we are working in different time zones. Wanataka tulipe taxes lakini kazi ni sisi tumejitaftia. S
Serikali ya wezi.

Leo, nimepitia hiyo WhatsApp group ya ndugu zako truckers nikasikia kulia. Jamaa wanalalamika mtu amewaanika leo tu, wao kazi tu Ni kuchoto tu ngata. It doesn’t matter Kama unamove truck from position A to B, jamaa lazima akule ya ngata!

Kwa Nini do some drivers feel that after being paid a competent wage, they deserve to live the same lifestyle as the truck owner?

Binadamu hatosheki.

Did it kill anyone? Waniuzie hiyo body I convert it into a restaurant.

Paying taxes and being proud of it is the ultimate proof of being a patriotic citizen.

kuna watu hutaka kujipendekeza kwa muarabu. watu wakiuza diesel shida iko wapi? kama tajiri hajalalamika mbona driver mwenzako alalamike eti unauza diesel?

Kwani VAT ni nini? They added tax on internet too. That is when I decided that this was a confused government. They are destroying the enablers of economic development by making it expensive. Now I hear to join Ajira you have to pay 10k…hehehe