Usiku Sacco

Meria Mata

Elder Statesman
#1
for the first time sina words za kusema
wakti nimejulishua kifo cha Theuri in Kilifi county didnt know what to say,
my inbox friend died in a rd accident kilifi, alikua ananukisha kitunguu.
i appreciate my informant and i followed his instructions, "dont post on ktalk"
well
ile imebaki sasa
ni we wish him rest in peace.

followed the instructions to the letter, but i told him this info lazima itatoka na sio na mimi.
na leo it has come to be
as we incognito here kaa uliiona kwa gazeti let it remain there.
usiweke.
kama kuna anything that will come up, we shall communicate.
Rest in peace @Theuri wa kigogoine
 
Top