Usiku sacco

#59
@Kimakia Umetumia neno UKINIPATA. hiyo inamaana kwamba umetoka mahali ulikuwa ukanipata na wataita wenzangu twaongea kitaita. Mimi naongea kuhusu hii forum. Just look at the heading of this thread iko kwa language gani?. Acheni hizo jamaa. Kwa heshima nawaomba. Hiyo ni Tabia mbaya
 
Last edited:

Top