Usiku sacco

Thirimaii

Múndú Mwenda Andú
#61
Umetumia neno UKINIPATA. hiyo inamaana kwamba umetoka mahali ulikuwa ukanipata na wataita wenzangu twaongea kitaita. Mimi naongea kuhusu hii forum. Just look at the heading of this thread iko kwa language gani?. Acheni hizo jamaa. Kwa heshima nawaomba. Hiyo ni Tabia mbaya
Ulipata thread kama imejaa lugha ya kikikuyu,ungekanyaga kubwa kubwa to another one.
About heshima....unaambia the wrong person...do i look like najua mbaya na nzuri let alone kupa watu nisiowajua heshima
 

Top