Usiku sana pserko

Usingizi hakuna kapsa hii ni after bibi kulalamika tumbo ya mimba inamuuma na kuniamsha …naona ishara kuwa MischiefLet Amekaribia.
[ATTACH=full]127622[/ATTACH]

Acha nikunywe kahawa sasa.

stomach of pregnancy…hehe

Congratulations Mischief. Na kwa MrsChief pia.

Register marked. I’m awake tu.

Naona paka pia ilipita na maziwa yote. Mwanaume ni kukubali kua victim kwa nyumba yake.
Kunywa kahawa tungu polepole. Na usisahau kuweka dawa Ya mende unaeza pata zilipita na boflo.
Usiku mwema bingwa!!!

Hehehe maziwa iko lakin i love coffee when its black.

Tafuta mairungi itapelekana vizuri na kahawa ukingoja mischieflet akwom…Congratulations on your incoming bundle of joy.

Hehehe mischieflet

did you wank on your coffee before the pic? :eek:

Wueh.
Tuko wengi naona.
Got in from the club at 12:30ish nikapata Snazzylet kakiwa na fever kiasi, nikapiga yeye paracetamol then rocked yeye to sleep.now am just ktalking as I watch everyonw else sleep.
Reportin at 0331hrs

It’s morning, amkeni mkajenge kwenu, taifa achieni wenyewe.