Usiombe yule uncle mwenye kinyongo na hasira amuoe mama yako.

Baba yako alifariki 2008 katika hospitali ya Mtakatifu Thomas. Mama aliolewa na kuachika, ndoa ya kwanza alikuuwa mzee Mswalhina aliyeruhusu mamabo mengi yatendeke nyumbani ambayo Baba alibainia.

Ndoa ya pili mama aliolewa na mmachinga na ya nne Baba mmoja wa Pwani. Huyu mchumba wa ndoa ya tano ukionyshwa kabla ya ndoa na kwakweli hukumpenda.

Alijitahidi kupiga push ups mbele yako na marafiki zako.
Mwisho ulimchukulia uncle yako poa.

Sasa hivi baba amekuwa na kiburi haya ile nafasi ya wewe kusoma Ulaya ukimaliza shule sahau.

Nakutakia jioni njema dada

Na mimi pia kaka hii avatar imekufanya uwe wa secondary

Nywele zimeota my Dada. Achana na the stone. Imebidi ziote

Translation???

Yanasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

Yaani siamini haya maneno ni ya dada yetu @Sky Eclat wa Jf. This this Sky Eclat?! Uvillager ni mzigo mzito kweli kweli! :smiley: Ila ujumbe wake una mashiko kupitiliza.