Utabiri: Kitakacho tokea 2020 kabla na baada ya uchaguzi

Huu ni utabiri wangu tu.

  1. Kabla ya Uchaguzi

*wapinzani wataendelea kupotezwa, kufungwa na kuuawa

*Lipumba, Mrema, Sakaya, watainuliwa upya na mfalme. Watagombea sehemu nyeti na wafuasi wao watapewa fadhila

*Kuna Prof (sio Propesa) atapigwa BAN au kupotezwa

  • Muungano wa upinzani utaingiliwa na kutatokea mpasuko mkubwa kwani wengi watakuwa tayari wameisha nunuliwa

*baadhi ya wapinzani ndani ya CCM watatimuliwa tena waziwazi. Wengine hatafungiwa kushiriki shughuli zozote za chama

  • Upinzani utatangaza kujiondoa kwenye uchaguzi. Hii itatokana na kupotezwa kwa baadhi ya viongozi/watu mashuhuri, vifo na kukamatwa na vyombo vya dola bila makosa
  1. Baada ya Uchaguzi
    *Kambi rasmi ya upinzani (bungeni) itaongozwa na akina Lipumba na genge lake lote
  • baadhi ya wafuasi wa genge la upinzani (la Propesa & Mrema) watapewa unaibu waziri kama fadhila

*Katiba itarekebishwa ili kumwongezea “STONE” muda wa nyongeza.

  • Watanzania wengi watakimbilia ugenini kwa hofu ya kuuawa.

NB:
Ni utabiri tu, unaweza kutokea au kutotokea.

Ngoja tukae mkao wa kula na Mungu atufikishe salama maana “HALI SIO SHWARI”

Siasa sio ramli mkuu;

Siasa ni hoja yakinifu…

Wapinzani mmebaki kuwa wapiga ramli…

Watanzania hawahitaji ramli wanahitaji siasa safi zenye kuleta maendeleo.

Je, watanzania wanahitaji vifo na mauaji?

mtoa unaoneka hata mwelekeo wa siasa ya nchi yako uijui.kwa sasa tanzania akuna chama pichani,vyama vyote vimeshamezwa tayar avina nguvu tena.2020 hata uweke jiwe na chadema watu watachagua jiwe

HUU UTABIRI NAONA KAMA UNA MWELEKEO FULANI, zote hizi ni mbinu za STONE, you do not need to invent a wheel to know this. YOTE ANAYOYAFANYA YANAELEKEA HUKO KWENYE HUU UTABIRI.

Muda ni jibu sahihi

Kwenye siasa safi tusingetarajia kuona zile chaguzi za marudio juzi ukifanyika ukatili wa wazi tena kwa uratibu wa jeshi la polisi, huku mabox ya kura yakitolewa vituoni na kurudishwa yakiwa yamepigiwa kura za ccm. Simply ccm ya sasa chini ya mwenyekiti wake haiwezi tena siasa za ushindani bali kulazimisha, na utabiri wa mleta uzi ni lazima utimie. Kwenye siasa safi ungekuja kuchangia kwenye jukwaa la nchi yako ukiwa uhamishoni?

Mmevipiga vyama vya upinzani mmebaki mnafanya siasa wenyewe za kuwalazimisha watu. Kisha mnajidanganya wenyewe kwamba hakuna upinzani. Ilitakiwa vyama vya upinzani viishe nguvu vyenyewe kama TLP ya Mrema. Sio ufunge njia zote wa wengine kufanya siasa tena kwa mujibu wa nchi, kisha useme umeua upinzani.

Maneno yako yangekuwa na maana kama tusingeona ule upuuzi mliofanya juzi wa kutoka na mabox ya kura kisha kurudisha yakiwa yamejazwa kura za ccm.

TIME WILL TELL

Naona una umaskini wa mawazo

Kwahiyo professor mark mwandosya atapotezwa.

Ulivyoandika ni kama mtu asiye na kichwa vile

zwzwa ww,hujui rAmli ndio zimefanya hadi umekuwa mkimbiz humu kenyatalk? misukule ya chakubanga bwana

kwa Sera zipi mlizotekeleza fisi nyie? bajeti ya kilimo tu imetekelezwa kwa 3%
Uhuru wa kujieleza hakuna ndio maana umeleta pumbu zako huku kenyTalk juh ww

mkuu fisiem inaungwa mkono na misukule usishangae hili zwazwA

mkuu fisiem inaungwa mkono na misukule usishangae hili zwazwA

misukule haiwez elewa

wew ni mpumbavu kabisa shenzi wew,unaishi wapi sijui?

Ngoja tusubirie…

Time will tell…

Cc: Mahondaw

Kuna siku utatabiri tofauti