Utam index (44 tribes of kenia)

  1. Njaruo
    2.ikamba
  2. Taita
    4.gikuyu
    5.turukana
    6.baruhya
    .
    .
    .
    43.maathai
    44.cumari

Umepitia hiyo yoote? Ngai!

Baruhya ni wa wapi?

Ingoo

Westan

Watu wa posho mill

Gasia. Zote faida sawa.

WAPI MDIGO, na wale wa Zalamkaze, Nakuyanza, na kinyocho

ikamba ni wewe na watu ya kwenyu

Mbitika ni shiney

Giriama?

kamba inafa kuwa kwa hiyo list

kwani huioni?

Ni mtu yeyote ambaye anapenda kukaa karibu na kisiagi.

Shimo mbaya Ni ya nyoka

Next tuweke kiherehere index

  1. Kisii
  2. Meru