Uthibitisho mwingine kuwa wanaofanya maamuzi Tanzania hawajui walifanyalo....

… serikali ya ccm inawanyima vibali vya ukaazi wageni wanaotaka kufanya biashara nchini kwa kigezo cha kufikia umri wa kustaafu. Eti ukifikia au kuzidi umri wa miaka 60 hawatoi kibali!!!

Kumbuka huyu ni mtu alieamua kuanzisha biashara yake Tanzania, kwa fedha zake, risk ya kupata hasara ni yake, atalipa kodi, atatoa ajira na ku-facilitate technology transfer etc lakini watu wanaweka sheria ya kumnyima kibali cha ukaazi (na hakitolewi bure, kinalipiwa USD 4,000 kila baada ya miaka 2) eti tu kwa kuwa muombaji ana/amezidi umri wa miaka 60!!!

Nakosa jina la kuwaita hawa watu.

inasikitisha sana hii… miaka 60 ni namba tu, ukikubali akilini wewe mzee, basi unakuwa hivyo lakini sidhani…

Mbona kuna mizee iko kwenye sekta ya umma, akili mgando na hawataki kuachia akili fresh zifanye kazi? Safari yetu ndefu sana.

Hao jamaa tukiwaita misukule watakasirika

Serikali lazima ifahamu hawa ni wastaafu huko makwao wanakuja kuwekeza hapa nchini kufurahia maisha yao ya uzeeni na kuwapa wazawa ajira! Hata hili hawalioni?!

Inawezekana serikali inaongozwa na vibwengo maana si kwa maamuzi haya. Hivi huwa wanafikiri kweli hawa?!!!

Kuna watu watalitetea hili.

Nasubiri jinsi watakavyolitetea. Lakini sioni mtu mwenye akili timamu atakaepata ujasiri kutetea huu uchizi.

VILAZA

Hmm!..

wanaitwa CCM, upumbavu na uoga ndio sifa yao

Waite “Mazwazwa”.

Mkuu ogopa mtu anayepata mshahara kila mwisho wa mwezi bila kazi anayofanya kupimwa tija yake. Mtu wa namna hiyo utakuta ana mawazo ya hisia zaidi na sio uhalisia. Usitarajie mtu aliyeko kwenye ajira na watoto wako kwenye ajira tena za umma aweze kujua kwamba mtu aliyeko above 60 anaweza kuwa potential kwenye uwekezaji. Wao akili yao iko kiajiraajira zaidi kwamba above 60 ni kustaafu tu na kupumzika.

Mkuu nakosa maneno mazuri kumuelezea mtu aliyefanya kazi kwenye ofisi ya umma kwa zaidi ya 10yrs. Watu hawa huishiwa na mbinu na ubunifu wa maisha halisi, ndio maana wakitoka kwenye ajira huchakaa, na kama walikuwa viongozi watafanya juu chini kupata sehemu ya kujishikiza, hiyo huuita ajira nyuma ya pazia. Angalia walioko kwenye bodi mbalimbali kisha uliza historia zao.

Waite mateja maana wanabwia unga bila kujua wanaharibika na wanaharibu nchi.

Hivi mambo hayo yanatokea hapa kwetu Tanzania au?

Huamini; au…?

My country has gone to the dogs! Call them dogs anyway

kwa hiyo kuwekeza nayo ni ajira ya umma?

Dah! Unakasirika mpaka unaamua ucheke tu.
Nalog off

This is Tanzania