What happened to the bugger this time? I have visited the village and I heard that he was expelled
Alianza vile unaelekea, kutusi watu ovyo ovyo
Yenyewe Uwesmake alianza hivyo tumatusi kiasi kiasi.
Yenyewe Uwesmake alianza hivyo tumatusi kiasi kiasi.
I heard (whispering) that alitukana mdem wa sos fulani hapa kwa kijiji, not sure which one though
‘Kutusu’ watu ovyo ovyo ndio ulipenda
Yenyewe alikuwa too much. Am sure he is back with another handle
Anaitwa Wenger sasa. Just look for listings by Wenger
Amerudi na handles tatu mbichi. Mulika @wenger @kamau and @DO_IT hao wote is one and the same mBUKUSU man
Talking to himself, jamaa analeta thread anajiongelesha na hizo handle zote. Kumutoa huku nikama kujaribu kuua chawa na kidole moja
leo ni lini
leo ni lini
Hehe, huyu mujamaa ni cat with 12 lives
manze siku izi ata energy ya ku-barniwa kurudi sina jo…
UWES ALIENDA?
Naskia alirudi Bungoma
NYOKA WEE
Luis the pest. Sema anko.