[ATTACH=full]4484[/ATTACH]
Machamaa kujeni hapa tukamate kaukali
[ATTACH=full]4484[/ATTACH]
Machamaa kujeni hapa tukamate kaukali
Hio kaugali hata ukiwa pekee yako hauwezi shiba kanono
Cheki poa hapo kando kuna kaunga kengine hivi
Kuwa mpole mujamaa, hio ni nono go zone
Sioni mboka kwani watakula kaukali na nini?
Kavu kavu na mate
HIO BUCKET HAPO KANDO N BUSAA IKO NDANI YA DESSERT AMA?
Tuchange school fees uwesmake amalize form 4. Ni aibu kukuwa semi illiterate katikati ya wasomi
ha haaa. hawa watu wanaeza kula ukali na harufu ya chakula ya jirani
FALA UKO WAPI BUNGOMA COUNTY ?
Ndugu ya @uwesmake amekamata kaukali na mrere akableki.
[ATTACH=full]4502[/ATTACH]
Muchamaa kuja hutoe hii mutu hapa
Naona tunazoeana
FALA NI FALAA TUU
Ugali ni ile ya tinga tinga(posho mill)
[ATTACH=full]4504[/ATTACH]
[ATTACH=full]4505[/ATTACH]
The real definition of ‘kulala unono’.