Uwesmake arrested after being found with KES 250K cash

#5
Kwani it's illegal for mentally challenged people to have cash
I highly suspect that he is a ganja trader
Yaani polisi ana expertise kujua huyu ni kichaa beyond control mpaka amshike amchukulie hela zake?

Yaani askari kawa daktari kujua hilo,of which at the same time the guy hasn't been threat or even micro aggressive to anyone?

Aisee,this is targeting!
 

Doc Oga

Village Elder
#9
Hii SI kushikwa ya kubahatisha. Uchunguzi kamilifu umefanywa na haikosi huyu ni mfurutaji/msafirishaji wa mihadarati ama fangi.
 

Top