uwesmale. com

Hio site ya tikteta iko na so much traffic. Last time i checked, 80 members online and 200 guest. Ango hapo utanukisha kitunguu very soon. Unikumbuke pesa ikiingia na za macho nimese jugdaniels hapa jkuat container. Asande omwami kwa kutusaficha mecho na kienyeji… TOJ!

2 Likes

http://i0.kym-cdn.com/photos/images/original/001/016/584/45e.png

9 Likes

Typo sorry namesa jug Daniels hapa container juja

Sio ujinga by the way

Wewe na uwesmake… (someone find me the museveni pic)

1 Like

hizi forums zimekuwa nyingi sana, shida kuu ikiwa zote wanna poach members from this village

1 Like

Acha za ovyo. Nakuja Kasa ununue fobe hapo car wash tukisafisha mecho. Niko na float

1 Like

Site yenyewe inaitwa? Nimeboeka na huku…

1 Like

Toka kuache kunuka uzee

2 Likes

Adverts zishaanza kukuom naona niki resign u meneja hapa ****** niingie full time blogging.

Sita kusahau kaka @Muhura Ndore

2 Likes

WUUEEHH inaingiza members mbaya sana juu ya kusafisha mecho.

1 Like

na inaeza blow cover yako ikishakuwa biz uchunge sana ama ukatwe makende na bibi. Unaonanga admin hapa anakaanga mitini haoshangi watu macho.

1 Like

@uwesmake site tibim but hio black color is hard on the eyes

2 Likes

Nikuwa unique ango

Link

Hehehe

Uwesmake ng’ombe jinga. Good luck!

1 Like

Uwesmakestan ni kijiji timam.

2 Likes

Uwesmakuma for women rep

4 Likes

[ATTACH=full]126279[/ATTACH]
danganya maasai

3 Likes