UYU JAMAA ANASUMBUA DEM WANGU

Actor.

Senior Villager
#21
Guys,I am not An admin....am just a villager like you..who is trying to secure his gyal.I am not playing any games here...its a life matter
 
Actor.

Senior Villager
#22
Guys,I am not An admin....am just a villager like you..who is trying to secure his gyal.I am not playing any games here...its a life matter
 
jmoy

Village Elder
#24
Niaje wadau,leo nimeamua kufungua roho yangu yote.kuna uyu jamaa ako kisii sai anasumbua gyal wa mine,akimcall kila mara.ata juzi alimtumia mia tano kwa mpesa and hapo ndo sukari ikaacha kuwa tamu kwangu.nikaamua kumcal this d*ck kumshow niaje na hii pesa yake,villagers wenzangu sijaamini kenye alinijibu mansee....ati dem wa mine ni wake pia......nilirudi kwa keja mara hio kumpasha uyu gyel wa mine but atlast alidinda kuanika uyu jamaa...akanishow that ni beshte tu.
uyu dame wangu nampenda,nataka kumwoa but my worry is this fucking idiot....What should i do my niggars
Nidunge ball uyu mtu wangu ndo aachane nayye?
Advice me Wadau juu nakufa na stress
Listen my son,

That woman is not yours. As the other man said, 'dem wa mine ni wake pia' - itikia ayo. This means venye unapata slices even the other man gets too. Your girl, typo, 'our girl' is lying by saying, 'ni beste tu'.

Kupea a woman ball is not a solution. She will give birth and the man will still be there eating your plate and vomiting in it. Reason unaona wanawake wameolewa wakona watoto lakini bado exes wanakula. Kama utakistress in life, don't for you will never be or may i say you will never walk alone!

Huyu dem akupendi. There is what she likes in you but not you. It's not sex because the other man is giving her and it may be better, wrong typing, it is better because she cannot do away with him.

My advice, jibambe as you look for your own. Do not invest your soul and heart for they will be crushed hard soon na utajua why some kijiji elders here are village-he-goats, kusambaza mkia nonestop ka poshomill ikisiaga.

Ni hayo tu my son
 
pipinono

Village Elder
#27
Admin hata kama ni traffic unatafta si ukue creative kidogo.. Unacreate handles unaanza kuact kama mtoi wa campus 2nd year eti ndio unukishe red creole yet ni wewe ulikunia kwa the handles that fed you!!! Gaseer tucker tucker..
Hehehe. Jamaa amejoin january with 2 messages Na saa hii Ni elder
 
mr.musk

Village Elder
#28
Niaje wadau,leo nimeamua kufungua roho yangu yote.kuna uyu jamaa ako kisii sai anasumbua gyal wa mine,akimcall kila mara.ata juzi alimtumia mia tano kwa mpesa and hapo ndo sukari ikaacha kuwa tamu kwangu.nikaamua kumcal this d*ck kumshow niaje na hii pesa yake,villagers wenzangu sijaamini kenye alinijibu mansee....ati dem wa mine ni wake pia......nilirudi kwa keja mara hio kumpasha uyu gyel wa mine but atlast alidinda kuanika uyu jamaa...akanishow that ni beshte tu.
uyu dame wangu nampenda,nataka kumwoa but my worry is this fucking idiot....What should i do my niggars
Nidunge ball uyu mtu wangu ndo aachane nayye?
Advice me Wadau juu nakufa na stress
let her make a choice, be at peace
 
Top