Uzi maalum wa kutoa shukurani/ shuhuda kwa YESU

Wakuu,

Dunia ipo na mambo yake ni mengi…

Yawezekana umepitia mengi na kupitia Mungu akakuvusha salama.

Yapaswa kushukuru kwa kila jambo liwe baya au zuri.

Shuhudia hapa mambo Mungu aliyoyatenda kwa jina la YESU ili jina lake litukuzwe.

Nianze mimi:

Asante YESU kwakuwa ktk maisha yangu nimeona mkono wako ukiniponya, ukiniinua na kunivusha.

Tembea nami YESU ktk maisha yangu

Sifa na utukufu zirudi kwako YESU

Zaburi 118:1 Haleluya. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele.

Asante YESU kwa jinsi unavyonisimamia.

Balaaaaa

YESU ni msimamizi…apewe sifa

Balaa ila shukuru Mungu kwa kila jambo

Asante Yesu…
With you I am Somebody, without you I am nobody.
Thank you for the spirit of adoption, who compels me to cry abaaa everyday.

Asante Yesu kwa kuniponya,kuniweka huru na kuniinua,hakika bila ya wewe nisingeweza kuwa hivi nilivyo leo hii…

Asante Yesu kwa yote unayonitendea maishani mwangu

ushuhuda: jana nlilala na stress baada ya senegal kushindwa kulinda goli lao na kushinda dhidi ya japan hatimaye wakatoa suluhu! thanks God leo nmeamka nko free na stress zote kwisha! naomba Mungu aniongoze katika kazi zangu za leo. muwe na siku njema.

Asante YESU kwa kuniamsha salama…kaa nami siku ya Leo…

Asante Yesu kwa kila jambo unalotenda kwenye maisha yangu

Nilidhani nitakuta na shuhuda kumbe watu wanashukuru tu… hata hivyo, ni vyema kumshukuru Mungu…

Soma vizuri…

Nimesoma ndiyo nikachangia… Labda unieleze unaelewaje kuhusu shuhuda? Au unadhani ni shuala la porojo tu, basi…

Ushuhuda wangu ni huu
Nilimaliza chuo 2009 lakini kazi ya kuajiriwa kabisa nilipata 2015 nimepitia magumu mengi muda mwingine nilihisi Mungu hayupo nami au nimerogwa nilihangaika sana lakini sikufanikiwa,Njia za Mungu sikuzote hazichunguziki nilikuja kupata kazi sehemu ambapo i did nothing yani ni bure kabisa kweli rehema bure na tulipewa asante Yesu bila wewe mimi siwezi kitu

[SIZE=6]upumbavu tu hapa, sijaona point yoyote. Wafia dini utawajua tu.[/SIZE]

bado nasubiri unitafute:oops:

Mungu ni mwema Sana kwangu