Huu ni uzi maalumu wa kumshukuru aliekutonya kuhusu uwepo wa jamii forum ndani ya kenyatalk…mpe credit zake aliekufanya ukafika hapa
Asante @Mzigua90 kwa kunipa taarifa
Huu ni uzi maalumu wa kumshukuru aliekutonya kuhusu uwepo wa jamii forum ndani ya kenyatalk…mpe credit zake aliekufanya ukafika hapa
Asante @Mzigua90 kwa kunipa taarifa
Yaani members wa JF bana, thread inakoibuka hata hujui, na utashtukia hii imejaa balaa.
Hahah! Aiseee
Alienipa link humu ndan sjamuona mpka sasa ila asante @Paw
Si Bora Thread kama JF haitarud ndan ya Week from now Hii Kenya Talk itakua Tanzania Talk maana watu weng sana watajaa humu
kwa atakae leta watu zaidi ya 20 hapa anapata zawadi ya vocha hahahha
lazima ijae mkuu…na atakaepata credit nyingi lazima ninimreward mda wa maongezi
Aisee…haha mtaje tu mkuu
Hahaha kakutonya halafu kasepa
Sasa mfano, mimi nimemwita @Mzigua90, yeye akakuita wewe, @Raynavero, @Shunie, etc, nyie nao mkaita wengine si maana yake hapo mimi bado ninahusika?
Namshkuru sana wakunyumba mwenzangu @Mzigua90 kwa kunipa taarifa na kweli Don we ndio kila kitu bila wewe tusingejua
hahaha hapo ingekua ni network marketing wewe ndio ungekua unapata commission ya maana hapo
Ashukuriwe huyo instagram
Food Chain.
Hahahaaa. Lol.
Shunie huyo ndio chaumbea
Shemeji yako huyoo :D:D:D
Ni nini eti?