VAT on fuel

Halafu kuna hawa watu wameanza kiherehere ati hiyo tax ya mafuta ibadilishwe iwekwe kwa alcohol/cigarettes,my friends,kila mtu apambane na hali yake. Achaneni na bei ya pombe kabisa, hiyo pombe ndo inafanya tunasahau loan ya China na shida zetu. Pandisha soda!

:smiley:

Wewe kwanza pambana na hali yako

Tangu reli ifike Kisumu then known as bla bla bla.
Be original maafaker.

:meffi::meffi::meffi: