Very Funny: Only For Legends... Weather Report In Kenya's Past...

What TF was this…? :D:D:D

[ATTACH=full]326501[/ATTACH]

Legend Nguata Francis. Retired last year.

:smiley: VOK aka KBC ikianza na zile rainbow colours za ku centre screen was the isht :smiley:

wewe ulikuwa unaona rainbow aje na mimi niliishi kudhani ni grey na white?

He’s using too much imagination to see Rainbows on B&W TV… :D:D:D

the Guy used to say kutanyesha na hakunyeshi the gods always conspired against them

Kuna siku wandimi muchemi alikua akiongea about “hewa safi na unyevu nyevu angani jioni ya leo” , saa hio kuna moti za wasee zinaenda na maji ya mvua. It had been raining since kitu 4 hapo nikitoka chuo. I stopped watching weather forecast from hio siku

Hujambo myazamaji Na Karibu katika kipindi chetu cha utabiri was Hali YA hewa…

Nguatah Francis is a legend ,wachana na hio mama muzee inafanya weather siku hizi

Ayub shaka

Huyu mjamaa ako fiti financially. Sio ati hajajipanga.

Hii ndio rainbow.

[ATTACH=full]326547[/ATTACH]

:DUkiona hiyo jamaa ameingia kwa screen ulijuanga ni saa ya kuenda kulala cha lazma uache watu wazima wakijionea vipindi za “watu wazima”. Nkt

Kuna jirani wetu msito back in those days alikua msito deadly from UG who had fled Idi Amin in the mid 70s… Jamaa had a colour JVC telly sisi mzae ameshikilia a NEC black n white set with the screen on the left and knobs za VHF/UHF tuning on the right. Daily ilikua kuvuka kwao in the early 90s kucheki hiyo “rainbow crossword”

Mama mgani huyo?

Mwalimu Francis Nguata. A teacher cum meteorologist

Iko mama husoma weather uko Kbc , can’t remember her name.

I haven’t watched KBC for like 2 billion years.

Nguatah Furajethi